Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta nini huku?Niazime degree yako basi nikidhi vigezo
Kwa kweli ww ni bahati mbaya sina sifa ka umri kameendaNatumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa
Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake bac Awe tayar kubadilika kimavazi maana napenda mume wangu awe smart saaana
Sifa zangu
Muislam
Miaka ni kati ya 24-27
Elimu, Degree(Sheria
NB:
1.Tafadhali hakikisha una sifa zilizotajwa hapo juu haswa dini maana sitaweza kubadili niliyonayo na ukijiona umezi 36 wala usijisumbue
Karibun PM mume wangu mtarajiwa
Wadada mnatafuta nini kwenye huu uzi?? Nyinyi hamtakiwiEti umesema?
Abiria chunga mzigo wako.Wadada mnatafuta nini kwenye huu uzi?? Nyinyi hamtakiwi
Sisi sio mizigo. Majina gani haya tunapeana.Abiria chunga mzigo wako.
Basi furushi.Sisi sio mizigo. Majina gani haya tunapeana.
Bandeko Balingi makambo te..umechemusha badili mfuniko wako wa rejeta.utapata tu ila na wewe ungeweka sifa zako humu ingependeza na pia dushe halinaga cha elimu ni kudumbukia tu ili mradi lisimameNatumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa
Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake bac Awe tayar kubadilika kimavazi maana napenda mume wangu awe smart saaana
Sifa zangu
Muislam
Miaka ni kati ya 24-27
Elimu, Degree(Sheria
NB:
1.Tafadhali hakikisha una sifa zilizotajwa hapo juu haswa dini maana sitaweza kubadili niliyonayo na ukijiona umezi 36 wala usijisumbue
Karibun PM mume wangu mtarajiwa
Mwanasheria unatafta mume kama unavotafta kizipo cha peni kilichoanguka unajielewa kweli ww?
mi dume mkuuKwahyo akimuomba mungu anaporomoshwa kutoka mbinguni,we bwana wako ulimpataje
Kama wewe ni mhaya hatutawezana kabisa maana hao wanajitia kujua kila kitu Ndo ukiongeza na u-lawyer sasa inakuwa too much.Natumaini wote wazima