Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

Natafuta mwanaume baadae awe mume wangu

Kazi IPO sasa si tunafunga tu ya Boman dini Mungu ni mmoja tu. Nipo tayari kama utanitafuta
 
we semana muombe Mungu Akupe mume sio mwanaume baadae aje kuwa mume wako,ukisema hivyo unamaana wadau waonje kwanza,hapa kuna waonjaji wengi kuliko waume
Haa haa haa haa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nomaaa
 
Natumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa

Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake bac Awe tayar kubadilika kimavazi maana napenda mume wangu awe smart saaana


Sifa zangu
Muislam
Miaka ni kati ya 24-27
Elimu, Degree(Sheria


NB:
1.Tafadhali hakikisha una sifa zilizotajwa hapo juu haswa dini maana sitaweza kubadili niliyonayo na ukijiona umezi 36 wala usijisumbue

Karibun PM mume wangu mtarajiwa
Umri kwangu janga
 
Back
Top Bottom