Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

Pole.
 
Watu mnapenda sana kubahatishia maisha ya mtu! Hata kama unamjua kuna haja gani unaweka wazi kweny public platform kama hii!! Tanzania tuna shida sana!! Fala kweli!
 
Watu mnapenda sana kubahatishia maisha ya mtu! Hata kama unamjua kuna haja gani unaweka wazi kweny public platform kama hii!! Tanzania tuna shida sana!! Fala kweli!

Kuna jina limetajwa au location anayoishi imetwajwa mahali fisi wewe? Go to hell dog
 
Mungu ni mwaminifu endelea kumuomba na ajawahi kumuacha mtu nimekupenda tu kwa namuna ulivyo weza kujali maisha ya wengine na pia kwa namuna ambavyo umekua na msimamo wako nimependa pia hongera dadangu.
 
Zamani utotoni nilikuwa nikisikia mtu ana UKIMWI sikanyagi anapokanyaga, sigusi alichogusa, nitasimama mita 100 toka alipisimama, kila nikimuona nahisi kama ananitafuta kwahiyo akija uelekeo wangu lazima nikae mkao wa mbio nyingi, yani kama sio elimu ningeweza kumkimbia muathirika nikaingia ktk gari na nikafa.
Nalishukuru Kanisa Katoliki kwa semina za vijana zilinitoa tongotongo na kujitambua na kutambua wengine hasa waathirika.
 
Mungu atakupatia pumziko lako la moyo endelea kumuomba yeye
 
Hivi kwanini mnapenda kwenda kupima mkiwa na majibu yenu kichwani? Kwanini usihisi kile kipimo cha awali kilichokumbia you are +ve ndio kilikuwa kibovu. Hivi unajua hata hivyo vipimo vinacheki nini? It's simply antigens-antibody reaction and not the virus in specific.
Huwa nawashauri watu waliopimwa na kuambiwa they are +ve just live a stress free life then keep checking ur status regularly, don't be shocked one day to be told you are -ve coz what they check is simply ur antibody reaction.

Keep living a normal & happy life madame.
 
Kama umeandika unamaanisha, ubarikiwe zaid. Kama umeandika kwa dhihaka, ulaaniwe sana.

Nikpongeze sana.
 
Pole sana dada yangu
Nakuombea kwa Mungu

Pia ukipata muda njoo inbox kuna msaada nimekuandalia
 
Like for this dude.

UKIMWI ni state ya muda tu, umeongea jambo kubwa boss. Actually napenda kuwa na marafiki wanaohitaji upendo, smbdy to show them the other side of life.
 
Pole sana kwa masaibu haya (kama ni ya kweli). Endelea na moyo huo wa kujali wengne.

Hata hivo saivi watu wengi tunakufa kwa ajali za barabarani na magonjwa mengine kama kansa, hepatitis, bp, diabetes etc.
 
Duh inawezekana kweli.kuna mchuchu namfahamu huyu nahisi atakuwa kajaza mabasi kadhaa kama.sio fuso kwa uzinzi lakn ukikutana naye anadai kashapima yuko salama. Huwa namwangaliaga tu.
 
Pole sana mpendwa Mungu akupe haja ya moyo wako na azidi kukupigania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…