Igombe fisherman
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 2,178
- 3,865
Pole.wadau..nikitaka kuelezea kila kitu sitafanya hata kazi zingine...najua wengine wanakejeli ila najua wapo wanaojifunza..niko kwa ajili ya kuwaelimisha wanaohitaji kujifunza kuhusu HIV..Kuna mdau anauliza ilikuaje nikaambukizwa na mama wa kambo...ni hivi nilianza kulelewa na mama wa kambo nikiwa dogo sana kama age of 6...mbaya zaidi alikua hatupendi,and baba hakua anatusikiliza that time even nyumba haikua na amani so baba hakuwa mtu wa kukaa home..ilienda mama akapata maambukizi hiyo ndio ilikua mbaya baba na mama hawakua na maelewano kabisa..nilikua na wadogo zangu 2 ambao walizaliwa negative..kutokana na migogoro ya home baba hakuwa akimuelewa mama..ilifikia hatua mbaya mama akawa anaumwa sisi ndio tunamuuhudumia..kuna siku alimwambia baba kama anamtenga atakufa na watoto wote...so alifanikiwa hilo alituchanja akatuambukiza...kwa akili za kitoto hatukujua kinachoendelea...alipofariki wadogo zangu walianza kuugua...tukapimwa and walikua positive..the story began...kuikweli hua sitamani kuikubuka hii story but nimeshare mjifunze...hapo nimeifaya fupi tu...kwenye family kuna issue nyingi ndugu zangu...kila wakati nawaambia ukimuona mtu positive msidhani kaikota kwa kupenda..No
jitathimini kama wewe ndio mimi unafanyaje?
umezaliwa mzima..leo niko hivi sio kwa kupenda nimeambukizawa makusudi...
mama yangu mzazi anaumia kiasi gani?
sometimes unakata tamaa..ila ukiangalia maisha ni yako unaamua kupambana
natamani nipate mtu atakae nionyesha nini maana ya mapenzi ninapokata tamaa..nataani nipate mtoto labda atanifariji napata na nani wengi ni waongo na wamekata tamaa..
ambao wanahitaji kuwa na mimi nawaonea huruma..
someone help..naandika hayo nikiwa na maauvu makubwa...yananiumiza