masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,282
Wanaishingi miaka zaidi ya hiyo rafiki..akadunda nini? teh teh nimecheka sans
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishawahi kuwa na girl friend baba yake alikufa na UKIMWI akiwa darasa LA tatu Leo huyo Dada kamaliza chuo kikuu na yuko kazini mwaka Wa tano lakini mama yake yupo hai.