thebeliever
Member
- Aug 7, 2018
- 24
- 162
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent
Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu imekua soo private, watu hwajioneshi kutokana na perception ya jamii, na nisingependa kumuambukiza mtu kwa kujua of which watu wengi wanafanya hivyo pia.
Now am loocking for a man ambae tunaweza kuwa friends na mungu akisaidia kuwa mke na mume baadae hope kutimiza ndoto za kimaisha pia.
Am in good condition, naelewa nini natakiwa kufanya as avictim, so ningependa ninaempata awe the same status, pia awe na malengo
Naamini being +ve sio mwisho..u can love and u can be loved too, mimi ni mkristo naamini mungu ni wetu sote, so na ambao ur safe please stay safe ukimwi upo.
Anyone interested anicheck PM.i will appreciate awe mkristo and around mwanza.
Thanks