NATAFUTA MWANAUME HIV POSITIVE

NATAFUTA MWANAUME HIV POSITIVE

thebeliever

Member
Joined
Aug 7, 2018
Posts
24
Reaction score
162
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent

Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu imekua soo private, watu hwajioneshi kutokana na perception ya jamii, na nisingependa kumuambukiza mtu kwa kujua of which watu wengi wanafanya hivyo pia.

Now am loocking for a man ambae tunaweza kuwa friends na mungu akisaidia kuwa mke na mume baadae hope kutimiza ndoto za kimaisha pia.

Am in good condition, naelewa nini natakiwa kufanya as avictim, so ningependa ninaempata awe the same status, pia awe na malengo

Naamini being +ve sio mwisho..u can love and u can be loved too, mimi ni mkristo naamini mungu ni wetu sote, so na ambao ur safe please stay safe ukimwi upo.

Anyone interested anicheck PM.i will appreciate awe mkristo and around mwanza.

Thanks
 
Usiwaze sana we endelea na hapa ulipomuonea
 
Good Girl and smart one ,you are such a full Package of wife material!!.

Nothing can stop you Baby ,Mwenyezi Mungu akupe Mume mwema na sahihi kwako !...ndio awe sahihi coz having the same health status haimfanyi mtu awe Sahihi na Mwema.

Usahihi naouzungumzia ni kama wako huu , ambao hukutaka kufanya kitu kibaya kwa wengine!!

You are a Good Girl, and you deserve to be Loved
 
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent

Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu imekua soo private, watu hwajioneshi kutokana na perception ya jamii, na nisingependa kumuambukiza mtu kwa kujua of which watu wengi wanafanya hivyo pia.

Now am loocking for a man ambae tunaweza kuwa friends na mungu akisaidia kuwa mke na mume baadae hope kutimiza ndoto za kimaisha pia.

Am in good condition, naelewa nini natakiwa kufanya as avictim, so ningependa ninaempata awe the same status, pia awe na malengo

Naamini being +ve sio mwisho..u can love and u can be loved too, mimi ni mkristo naamini mungu ni wetu sote, so na ambao ur safe please stay safe ukimwi upo.

Anyone interested anicheck PM.i will appreciate awe mkristo and around mwanza.

Thanks
Nakuombea kwa mungu umpate mwenye status hiyo, endelea kua na moyo huo huo wa huruma dada, nimeo kua we ni smart na ni wife material kabisa , mungu akujalie
 
Back
Top Bottom