Natafuta mwanaume ili aje awe mume

cheusimangalami

Ningekuja huko @pm ila umri wng 22yrs,ila ni muajiriwa serikalini Na nnakipato kizuri tu
 
Last edited by a moderator:
cheusimangalami

Menibidi kunyamaza, yako kutafakaria,
Kwangu umejitokeza, mahaba kunitakia,
Kwa kweli umejikaza, vema kuniangalia,
Banati umeniweza, kuniamsha hisia.
 
Last edited by a moderator:
Kuna Jamaa Mpaka Wamemuita Jina La Boko Haram Akipita Hapa Hakukosii
 
Duh mi mwnyw nmetoka kutoswa yan ningekupata
 
Cheusi Mangala usibadili mwendo huo mangala eee mangalaa ehh binti Afrikaaaaaaaa.......

Hua nina... kila ninaposikia weusi na upole wako kwa watu wa pembeniiii...

R.I.P TX MOSHI WILLIUM
 

plz ni pm namba yako tuzungumze kama kweli upon serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…