Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,562
Mimi Sasa Nina Miaka 49 Lakini Nina Mapenzi Ya Mtu Wa Miaka 23 Je Rukhsa Kuaplai?
overloading on bed is not allowed!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Sasa Nina Miaka 49 Lakini Nina Mapenzi Ya Mtu Wa Miaka 23 Je Rukhsa Kuaplai?
Anakudanganya mwaya! hayo mapakashume yapo badoo! Huku unavyokuja ndio wanavyokupokea!
Kumbe Na ww upo www.badoo.com ntakutafuta
Haaa! mimi nyumba ya udongo sikuhimili vishindo!
Kuna Jamaa Mpaka Wamemuita Jina La Boko Haram Akipita Hapa Hakukosii
daaah nmekosa vigezo kidog tu
Haaa! mimi nyumba ya udongo sikuhimili vishindo!
Natafuta MWANAUME, Mungu akipenda tuwe mume na mke.
sifa.
-ajiamini, -umri 28-35, elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha, awe amejiajiri au ameajiliwa, dini awe mkristo.
sifa zangu
miaka 27, nina shahada ya kwanza, mwajiriwa.
aliye tayari aje pm kwa mazungumzo zaidi.
Elimu sina..😢 ila UPENDO WA DHATI ninao 💏