babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Nlianza mahusiano na mtu tukapima tulikuwa safe three year to come visa na vituko kila siku kisa kipya na mwanamke mpya nikaamua kuachana nae na kupima,ndio nikakutana na majibu haya,funzo ni kwamba ukeshe ukiomba maana waweza tulia mwenza wako akauleta
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tiari njoo tuyajengeMimi ni msichana wa 25yrs,ninaishi na vvu.ninasoma hivi sasa ninaingia mwaka wa mwisho,nina mwili kiasi urefu kiasi,mweupe kiasi,mkristo.ninatafuta mwanaume mwenye hali kama yangu,mkirsto age btn 28-35,awe mkirsto,awe tayari kusettle na kuanzisha family,kama uko serious pm me
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakaekudhihaki hatakuwa na utu..mkuu kwa wasiokuwa waathirika itakuwaje the door is open?..si utamuambukiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbitiyaza usiongeze doze za wine..nahisi ushaanza kwenda hatua 3 kulia then 3 kushoto..mimi kutokujua jambo hakumaanisha mtupu kichwani..elimu haina mwisho!kumbe na ww ni mweupe namna hyo kichwani ! lol!
Mbitiyaza usiongeze doze za wine..nahisi ushaanza kwenda hatua 3 kulia then 3 kushoto..mimi kutokujua jambo hakumaanisha mtupu kichwani..elimu haina mwisho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka umpate atakayekukubali kwa hali ulonayo mamy!! Wengi hawana hiyo elimu na woga ndo changamotooWatu hawaelewi tu kuwa mwathirika anaoa/kuolewa na asieathirika na wanazaa watoto wazima na maisha yanasonga
Wakuu POLE zikizidi nao ni unyanyapaa (stigma) ...
An ant on the move does more than a dozing ox.
Hongera ,, kwa 25 yrs na upo chuo!!.. Mmhhh km kweli chuon hujawah kua na mtu Basi utapata sawasawa na hitaji lako.