Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu

Mimi ni msichana wa 25yrs,ninaishi na vvu.ninasoma hivi sasa ninaingia mwaka wa mwisho,nina mwili kiasi urefu kiasi,mweupe kiasi,mkristo.ninatafuta mwanaume mwenye hali kama yangu,mkirsto age btn 28-35,awe mkirsto,awe tayari kusettle na kuanzisha family,kama uko serious pm me

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tiari njoo tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanza hongera sana dada kujikubali mwenyewe hyo ni hatua moja kubwa sana maishan mwako na kwa ustraw wa afya yako ! barikiwa kwa kila kitu my dear ! umetupa funzo nkubwa sana aisee inauma sana

cc sherida
 
Hongera kwa kujikubali,jaribu kutembelea vituo vya ARV utawakuta vijana wengi pale
 
Back
Top Bottom