Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,282
Wakurya na wajita makabila mazuri Sana sema huyo hajui Tu.Wakuyra na wajita imekula kwao [emoji28]
Dada huyu hataki kupigwa [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakurya na wajita makabila mazuri Sana sema huyo hajui Tu.Wakuyra na wajita imekula kwao [emoji28]
Dada huyu hataki kupigwa [emoji23]
Sawa umeeleweka njoo tufaamianeSifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM
Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo
Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
Bado Uko na Foolish things kwenye mapenzi , Mapenzi na ndoa Ni vitu viwili Tofauti Kabisa tuliza Akili utapata Mume Bora sikiliza mwimbo WA Kassim Mganga Mpya utaelewa.Yaan nahitaji mwanaume wa kunisumbua sumbua kama mke wangu upo Wapi... Nalimiss Tunda langu... Like ivo... Kubembelezana and other staffs... I just want to feel love.... That special feeling am missing..
Ujue mpendwa,huyu mdudu nilidhani kadondoka kwenye screen akifata mwanga wa simu,nikafuta screen naona hatoki,nikapuliza kwa nguvu naona hatoki..nikawaza labda kaingia kwa ndani,wakati natafakari hayo ndo nikagundua kuwa ni avatar ya jamaa...nimejicheka sana.Hahaha you made my night
OK Nina miaka 45 njoo tuishi wote, sijawai kuoaMie kimo duu
Hiv kweli upo serios au unajaribu tuSifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM
Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo
Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
Mapenzi hayajaribiwiHiv kweli upo serios au unajaribu tu
Nipo serious singependa mataniOK Nina miaka 45 njoo tuishi wote, sijawai kuoa
Hakuna mkurya mweupe, kasema hataki mweusiSifa zoote ninazo, tatizo mie Mkurya.
Ngoja nije tu lakini, najua nikikusaundisha vizuri nikakoungezea millioni 7 kwenye mtaji wako na kukusomesha chuo utalegeza masharti kidogo...
Kaka samahani.... Kama huna imani pita vile... Mwenye nia ataaminiWe msela unazingua, umefikia hatua un ajiita mwanamke kisa usumbue watu.
mbona huna spirit ya uvumilivu?Kaka samahani.... Kama huna imani pita vile... Mwenye nia ataamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Atakufa kwa hasira, maana si kwa utoto huoAtae mwoa huyu atajutaaa maana bado hajakua
Npm kama uko kibiashara Miaka 22 Bado Papuchi Changa kabisa hyo Ntaenjoy Sana.Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM
Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo
Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
Maisha Ni kuchagua... Unavyoishi wewe na kujiona upo sawa sio na mwingine lazima aishi kama wewe... Kama unaona mimi sijakua kwa vigezo vya kwako binafsi... Basi Kuna mwingine ambae mimi ndio saizi yake... Kila mtu anatembea na imani yake... Usilazimishe waamini katika wewe, mapenzi yana mambo mengi sana hasa lijapo swala la ndoa, sijataka kuangaika kwa kua naijua thamani yangu, najijua mimi ni nan na nataka nini, najua jinsi ya kuishi na mwanaume wangu.. Najua kumuheshimu na kumvumilia, sisi sote ni binadamu na ukubwa wa miguu yetu haifanani Kiatu kama hakikutoshi kiache usiangaike nacho, yupo kitakae Mtosha.Atae mwoa huyu atajutaaa maana bado hajakua