Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

Natafuta mwanaume mwenye malengo ya ndoa

Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM

Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo

Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
Sawa umeeleweka njoo tufaamiane
 
Yaan nahitaji mwanaume wa kunisumbua sumbua kama mke wangu upo Wapi... Nalimiss Tunda langu... Like ivo... Kubembelezana and other staffs... I just want to feel love.... That special feeling am missing..
 
Bado Uko na Foolish things kwenye mapenzi , Mapenzi na ndoa Ni vitu viwili Tofauti Kabisa tuliza Akili utapata Mume Bora sikiliza mwimbo WA Kassim Mganga Mpya utaelewa.
 
Hahaha you made my night
Ujue mpendwa,huyu mdudu nilidhani kadondoka kwenye screen akifata mwanga wa simu,nikafuta screen naona hatoki,nikapuliza kwa nguvu naona hatoki..nikawaza labda kaingia kwa ndani,wakati natafakari hayo ndo nikagundua kuwa ni avatar ya jamaa...nimejicheka sana.
 
Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM

Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo

Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
Hiv kweli upo serios au unajaribu tu
 
Tatizo mimi ni Muislam, katika vyote ulivyotaja
 
Sifa zoote ninazo, tatizo mie Mkurya.

Ngoja nije tu lakini, najua nikikusaundisha vizuri nikakoungezea millioni 7 kwenye mtaji wako na kukusomesha chuo utalegeza masharti kidogo...
Hakuna mkurya mweupe, kasema hataki mweusi
 
We msela unazingua, umefikia hatua un ajiita mwanamke kisa usumbue watu.
 
Kaka samahani.... Kama huna imani pita vile... Mwenye nia ataamini
mbona huna spirit ya uvumilivu?
Kwa nini hujiamini?!.
Nlishawahi kuona post kama hii ulitaka mtu mwenye umri wa z aidi ya miaka 40 (nadhani ulikuwa unatafuta sugerdaddy).

Umri wako miaka 22, na unajipambanua kuwa ni determinant woman.
Unahofia nini wakati unajishughulisha?, kila jambo lina wakati sahihi. Bado upo na muda wa kusubiri huku unaiandaa future yako.

Ndoa sio mahusiano rahisi, sio biashara, sio ubaguzi kama uliouweka hapo ktk post yako. Ndoa ni zaidi ya unavyodhani, ndoa ni mkataba wa upendo.
KUWA NA SUBIRA.
 
yaani unavyochagua utadhani ww ndo unaumba watu mbona dr. remy alikuwa na sura mbaya na bado alioa mzungu kama hujui kamuulize ......"masoud"..... pia kumbuka ndoa ni mwembwe za hapa duniani tu kwa mungu hakuna kuoa wala kuolewa
 
Sifa Zangu
Jinsia Yangu KE, Miaka 22, Naishi Dar Es Salaam... Nina umbo la wastani/urefu wa wastani, Rangi ya chocolate, Ni mjasiliamali na pia najiendeleza kielimu, sina mtoto,. Ni Mkwel na Mcha Mungu, Mkristo, Nina Akili Ya Maisha, Ni Muelewa na Nipo makini sana hasa kwenye mambo ya maendeleo, ninajali na nina heshima, nimefunzwa vizur kwetu, mengine tutafahamiana PM

Sifa Za Anaetakiwa
1.Miaka 28 na kuendelea
2.Awe Mkristo
3.Asiwe Mweusi Wala Mfupi
4.Awe na kazi maalumu ya kueleweka inayomuingizia kipato
5.Usiwe Mkurya wala Mjita
6.Usiwe Mme Wa Mtu (I want a free man to build future with)
7.Awe Muelewa, Mpole na anaejielewa anahitaji nini katika maisha.
8.Ukiwa na mtoto sio tatizo

Kama ni kwel upo serious na una hitaji mke ili muyajenge maisha pamoja, na unakidhi sifa hizo hapo juu, ni PM tufahamiane zaidi.... Mbarikiwe.
Jion njema.
Npm kama uko kibiashara Miaka 22 Bado Papuchi Changa kabisa hyo Ntaenjoy Sana.
 
Atae mwoa huyu atajutaaa maana bado hajakua
Maisha Ni kuchagua... Unavyoishi wewe na kujiona upo sawa sio na mwingine lazima aishi kama wewe... Kama unaona mimi sijakua kwa vigezo vya kwako binafsi... Basi Kuna mwingine ambae mimi ndio saizi yake... Kila mtu anatembea na imani yake... Usilazimishe waamini katika wewe, mapenzi yana mambo mengi sana hasa lijapo swala la ndoa, sijataka kuangaika kwa kua naijua thamani yangu, najijua mimi ni nan na nataka nini, najua jinsi ya kuishi na mwanaume wangu.. Najua kumuheshimu na kumvumilia, sisi sote ni binadamu na ukubwa wa miguu yetu haifanani Kiatu kama hakikutoshi kiache usiangaike nacho, yupo kitakae Mtosha.

Ni hayo tu
 
Back
Top Bottom