Natafuta mwanaume wa kunioa

Lakini bibie kaandika anatafuta mme wa kumuoa na sio mpenzi...

Huwezi kwenda kwenye hatua ya mume na mke bila kupitia urafiki, upenzi, uchumba n. k au samahani mume ni nani anapatikana vipi
 
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
Unaonekana unataka kukimbia maisha fulani hivi, huyo mumeo hutadumu naye pindi utakaposimama kwa miguu yako!Kuolewa sio biashara au kazi,ni bora ukatulia ukawa na hakika na unachofanya!Anza kwa mahusiano ya kawaida. Kwa ushauri/msaada kuhusu maisha niandikie mtendahaki@gmail.com
 
Lakini bibie kaandika anatafuta mme wa kumuoa na sio mpenzi...

Huwezi kwenda kwenye hatua ya mume na mke bila kupitia urafiki, upenzi, uchumba n. k au samahani mume ni nani anapatikana vipi
 
Kweli umri unaenda kukutupa mkono mdogo wangu fanya hima upate mume kwani unaelekea kwenye umri wa kukongoroka sasa na umri ambao kila mwanaume ataanza kukuogopa isipokuwa ajuzaz tu na vikongwe!

All the Best mamy!
 
duh.. 27!!,,?,, legeza vgezo hvyo.. la cvyo imekula hyo
 
Njaaaaa nyam nyam
 
Attachments

  • 1474020928774.jpg
    9 KB · Views: 65
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
We una diploma ya nini?umeajiriwa?
 
Mhhhh!!!!...binti Ongala unataka nini eti?
 
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
samahan samahan kama lakin napenda kuzungumza ukwel kwa umr huo uliotaja n ngum kupata mwanaume asiye na familia,, yaan weng umr huwa wameoa na wana watoto labda uwe tayar kulea mtoto ambae siyo wako,, sikukatishi tamaa ila kuwa makini na yeyote utakayempata mchunguze kwa makini harafu ni bora kama na ww ungetaja miaka yako
 
Reactions: MC7
We bado huhitaji kuolewa masharti kibao kama nyumba ya kupanga au naomba kazi!!? Mtaendelea kukaa benchi mpaka basi.
 
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
Wanaume wapo wengi karibu ujichagulie
 
Niko kimya nawaachia vijana wajikanyage....mkishindwa niambieni baba yenu nichukue mzigo kama atakuwa tayari kulea watoto wangu wawili...kwa kazi za mission town.
 
Hii post imechangamkiwa sana ila bahati mbaya walioichangamkia sio waoaji hao...
 
Mimi sina digirii nina nyuzi joto tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…