Natafuta mwanaume wa kunioa

Natafuta mwanaume wa kunioa

Umeshafika baa ndio mnatafuta wakat mko wabichi kuna watu waliwataka mkajion mko demanded every kono
 
Mimi nina 27yrs.
Mchaga.
Nina diploma.
Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs.
Mkristo.
Muajiriwa/aliyejiajiri.

Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
Diploma jioe mwenyewe ungekua na digilii ningekufikilia
 
Niombeeni jaman nmetuma Maombi nasubiri majibu. Niweke Chombo ndani
 
30 Years .... [emoji57] [emoji57] [emoji57]

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom