Natafuta mwanaume wa kunioa

Napenda mwanamke muwazi kama wewe.
Kama hutojali karibu tutete pm
 
"Awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa".

hapo umeshatimua madanga wote wanavo penda kulelewa na wakina mama wana fikra eti kua na show nzuri kitandani ndo tosha kwa mwana mke
 
27 jua la Magharibi hilo unakuja na masharti kibao kama unaenda white house. Miaka 27 umeshachomoa mimba ngapi? Usiseme haujazaa kumbe umezaa watoto wamefariki.
Mmmh bro, hivi mwanaume wa 33 na kuendelea amekula wanawake wangapi?
Si Mungu anakupa wa kuganana nawe?
Miaka 33 hadi 40 unataka bikra?
Acha utani bhana
 
27 jua la Magharibi hilo unakuja na masharti kibao kama unaenda white house. Miaka 27 umeshachomoa mimba ngapi? Usiseme haujazaa kumbe umezaa watoto wamefariki.
Mchangiaji huyu yupo serious!??[emoji3][emoji3][emoji848][emoji2960]
 
Naitwa David, naishi chanika Dsm. Vigezo ulivyovitaja ninavyo. Naomba ushirikiano wako please
 
Ni lazima uolewe fasta fasta mwaka huu bila hata kujuana mambo ya msingi ? Why umesisitiza ni lazima awe na mpango wa kuoa mwaka huu
Ha ha ha mkuu unaogopa mbuzi kwenye gunia why fasta fasta sio bure i see.
 
Dini tu
 
Unaijuwa lkn in 170 ww tall kisenge
 
Mie wa 100 cm sifai jmn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…