Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[/QUOTE]Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume,kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home,ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia,nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo.Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau
Vigezo
1)awe anaishi Dar preferably mikoa mingine long distance relationship ni tatizo,Dar atapewa kipaumbele zaidi
2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa
3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu,mkristu R.C Au K.K.T itapendeza
5) Mrefu asiwe chini ya 170cm
6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti
7) Umri miaka 33 kuendelea
8) Awe mtafutaji amechangamka kuna wanaume wapo wamezubaa jamani,mtu anae ridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa
9) Awe na mpango wa kuoa mwaka huu,mimi si mtu complicated aina ya ndoa just a simple one,kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana
Sifa zangu
Ni mrefu,maji ya kunde,umbo la wastani sio mwembamba sio mnene,umri miaka 27
Nimejiajiri
Sina mtoto
Mcheshi kiasi mkimya kiasi
Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM
😂😂😂😂 Nikufanyie mpango kwa TausiHua havikosi vitu vya kuninyima sifa mwanzo ilikua ni umri pekee leo imeongezeka urefu.
Mungu akujaalie.
Tunaenda tunaenda mama.Wanaume mlio tayari kuoa mwaka huu mnaitwa huku
Mimi wake za watu siwawezi.😂😂😂😂 Nikufanyie mpango kwa Tausi
Mwezi wa tano tu, nakamilisha hizo digit. Subira yavuta heri.Wenye miaka 32.9 tusubiri had tukamilishe digits
5) Mrefu asiwe chini ya 170cm