Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #41
sasa mimba na mtoto ulee mwenyewe ili uwe wife material?itakua nje ya ya JF maana humu kila siku wanahubiri mwanamke asiependa hela ndiye anafaa kuolewa, ukipenda hela basi wewe hufai hata kidogo 🙂🙂🙂
kama hutaki kutoa wengine wapo?Ukitafuta mwenyewe ukipata na majukumu unabeba mwenyewe
Nyie mnakosa sababu?huwa hamkosi sababu
Ila kweli...kama hutaki kutoa wengine wapo?
TehKwa hiyo unatafuta wa kukubebesha mimba na awe tayari kukupa milioni tano aaaaah shida yako na bado ina condition of services ,
Mahoka !
Hiki ni kitendawilindio
Hajawa muhitaji bado aendelee kusubiri. Akiwa nauhitaji atarudi kivingineKuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
Shikamoo!!!!!!!Hajawa muhitaji bado aendelee kusubiri. Akiwa nauhitaji atarudi kivingine
utazaa na mtu tu hata kulea hajui?Kwa hiyo unatafuta wa kukubebesha mimba na awe tayari kukupa milioni tano aaaaah shida yako na bado ina condition of services ,
Mahoka !
Hehe hii itakuwa mimba kwanzaKipi kinaanza?
Pesa kwanza au mimba kwanza?