Hiyo pesa si inatosha mahari kabisa na kupanga miaka miwili..!Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Usiposhika mimba hela utarudisha?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa mimba anatafuta yeye halafu alipwe tena, shimo lake lina makinikia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana Chura huyu changamkia .
Nenda kwa DiamondKuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke
Hahahahahahitakua nje ya ya JF maana humu kila siku wanahubiri mwanamke asiependa hela ndiye anafaa kuolewa, ukipenda hela basi wewe hufai hata kidogo πππ
Fast track!!!Mimi nipo tayari kuhusu pesa usiwe ma shaka kwani Nina bima kubwa utajifungulia popote upendapo iwe muhimbili private wodi Au Agakhan