Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Natafuta mwanaume wa kunipa mimba

Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
Hiyo pesa si inatosha mahari kabisa na kupanga miaka miwili..!
 
Anayetaka hivyo ndiye mwenye kuungia gharama na kwa nchi za wenzetu ndivyo wanavyofanya so kama una njaa zako shut up.
 
Nitafute twende kwa lawyer hamchelewi kubadili mistali ooh nin fibrosis
 
Labda ya kuchora chini utake mimba mwenyewe ulipwe wewe na huyo anayekupa mimba je utampa nn
 
Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine

Mjumbe hauwawi mkumbuke
Nenda kwa Diamond
 
Kwa mpango huo endelea kutubania tu, na vile wa buku 2, 5 kwasasa wamepigwa marufuku[emoji85] [emoji85] jamani, tutaishia kwenye sabuni ya unga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Mi nataka yule ambae hataki mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom