bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Hiyo pesa si inatosha mahari kabisa na kupanga miaka miwili..!Kuna wakati wa kila kitu
Uwe tayari kumpa tsh m 5 ni advance ya kujifungua -hosptal bills etc na kula uzazi,
Wakati wa bwana umefika.
HIV negative
Christian
Usiwe na mtoto mwingine
Mjumbe hauwawi mkumbuke