Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Asante
 
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi
Vip kuhusu Vigezo na masharti vya huyo mhusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi

Duh huo ugwado ulio lala nao sio mchezo yaani asubuhi yote hii? pole mama
 
Duh njoo marekani kuna mzungu ana ndoto ya kutaka kuoa africa black

GOD FIRST [emoji1078]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…