Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Mungu akupatie hitaji lako nasi tutafata, maana wanaume waliyo serious na ndoa wamekuwa adimu sana!
Agness120 Una ushahidi wa hizo tuhuma kwa wanaume ?, toa mfano, Na nyie wanaume ambao hamjaoa acheni mizaha basi
 
Vijana muwe makini sio mnaingia kichwakichwa halaf mkishapigwa nauli mnakuja kulia huku
 
Back
Top Bottom