Natafuta mwanaume wa kuwa nae maishani

Shindwaa
 
Kwani kuna tatizo kuoa kahaba aliyeokoka? Kipimio tunachotumia wanaume kingelitumiwa na wanawake basi kusingekuwa na mwanaume hata mumoja anayefiti kwenye ndoa
 
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi
Dah...yaani nimekosa sifa moja tu nibebe zigo...dah [emoji2960]
 
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi
Nipo tayari nicheki 0688755075
 
Hivi kwanini hamtoagi mrejesho au umekumbwa na mabaharia
 
Mume utakaempata ni wa kuwa nae kitandani tu huko maishani hakuna wa kwenda huko kwanza hakuna mwanaume anajua huko maishani kama yupo aeleze pakoje na panafikwaje,, Mimi sipajui hata stand yake sijui ilipo au ni sayari mpya?
Habari zenu wanandugu nina umri wa miaka 26 elimu Chuo kikuu nimeajiriwa katika kampuni.natafuta mwanaume alie serious na mahusiano ya kuelekea ndoa.Awe na Sifa zozote ila awe serious na mahusiano naomba ani pm kwa maelezo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…