IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Sasa na wewe si ungeweka characteristics zako ili MTU afanye "informed" decision maana watu wanazifataga Ulaya kuliko hapo Arusha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Una sababu zozote za msingi za wewe kuwa na maamuzi haya!? Yaani hutaki mwanao amjue mzazi wake wa kiume angali yuko hai.Mi wakwangu hatamjua baba yake wa kibiologia too bad for him/her
Umenikumbusha mbali sana.Kweli wewe umechoka kama jina lako.Mtafute beberu,huyo hana hulka ya kutafuta watoto baada ya kutia mimba.
Njoo nikutifue,utampata Huyo mtotoHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Huyo anayekupa mimba unamlipa nini? Maana inaonekana wewe unaangalia advantage upande wako tu?
Mkataba huo unaosema unaisha it means mtaandikishana kisheria au ni mkataba wa maneno tu?
Ukiweza kujibu hayo maswali vizuri then tutajua uko serious na unachosema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Faida utakayopata ni kula papuchi kavu kavu .
Hayo mabao unayopiga punyeto kila siku ,kuna siku utalidai taulo watoto wako?
Unapenda mteremko. Sasa Mtoto wako hata ukimuhudimia utapungukiwa na kipi... Au unataka jina asiandike lako kilinic??hatareeNipo mimi ni PM
Tatizo lenu shida zikikaba huchelewi kutengua kauli!!! Unaanza kuulizia matumizi ya mtoto.
Dini za kikoloni zilizuia kuoa mke zaidi ya mmoja.Wanaume waoaji cku hizi hakuna mabinti wameiva muda wa kuolewa umefika waoaji hamna,wanaamua sasa wazae tu walee,vijana oeni akina dada wanateseka sana.
Nakushauri nenda ulaya wanauza mbegu au waweza bahatika kupata wa makabila mengine wasiojua thamani ya mtoto huku uchaggani mtoto ni hazina.Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Wanaume wapo wengi kinachoharibu mmekuwa after money sana, na mkataba wabeijing ndio unaowaponza vijike nyie vidume nyie mtajenga vipi familia?huku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Hahaaaa sio mimi. Mimi nikishapata tu ujauzito tusijuane tena