Hakuna mwanaume anaejielewa eti akupe ujauzito afu msijuane ni ngumu.
Lazima ujue unazaa na mwanaume wa aina gani sio sababu unahitaji mtoto kila aliyevaa suruali basi unaweza kuzaa nae
Pia katika uliokuwa nao katika mahusiano si ungebeba bila wao kujua kama kweli unania ya kulea mwenyewe
Hakunaga mwanamke anaependa kulea mwenyewe buanaa