Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Hii fursa kwa wanaarusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IQ ni muhimu unaweza ukanasa kichaa ambaye kwa sasa yuko kwenye dawa usimtambue!Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Wewe usiende PM mkuu umechafuka sana mkuuKila la kher mkuu
Huyo anayekupa mimba unamlipa nini? Maana inaonekana wewe unaangalia advantage upande wako tu?Sina mume
Ndicho nilichomuuliza akajibu simple simple tu.Siku hizi mtoto ni kama bidhaa tu? Yaani nikupe ujauzito kila mtu aendelee na mambo yake kana kwamba hakuna kilichotokea wakati una mwanangu, kweli?
Mkuu inaonesha hutanii kabisa, hivi wanajamvi hili jambo lipoje maana mimi nishawahi kuombwa na wanawake wasiopungua watatu wawili kati yao wanajiweza mmoja kawaida, nikifikiria damu yangu iende tu without a trace hapo ndo nagoma nahisi uchungu flani hivi.Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
huku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Kama unaona huwezi kuniachia mwanao basi post hii si kwajil yako mi nataka ambae atakua tayari kuniacha mimi na mtoto tuendelee na maisha yetuSiku hizi mtoto ni kama bidhaa tu? Yaani nikupe ujauzito kila mtu aendelee na mambo yake kana kwamba hakuna kilichotokea wakati una mwanangu, kweli?
Tangaza dau basi..Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Lakini ni dhulma kwa mtoto sababu mtoto ana haki ya kumjua baba yake wa ki biolojiaKama unaona huwezi kuniachia mwanao basi post hii si kwajil yako mi nataka ambae atakua tayari kuniacha mimi na mtoto tuendelee na maisha yetu