Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Aise hiyo ofa nadhani mimi nimekidhi vigezo vyote na masharti.maana nafyatua vitu vya ukweli.kazi kwako.
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
IQ ni muhimu unaweza ukanasa kichaa ambaye kwa sasa yuko kwenye dawa usimtambue!
 
Sina mume
Huyo anayekupa mimba unamlipa nini? Maana inaonekana wewe unaangalia advantage upande wako tu?
Mkataba huo unaosema unaisha it means mtaandikishana kisheria au ni mkataba wa maneno tu?

Ukiweza kujibu hayo maswali vizuri then tutajua uko serious na unachosema.
 
We mbona huko kinyume na wanawake wengi wao wanaogopa mimba kuliko ukimwi.

Kwakuwa niko mbali na umenifurahisha kwa hilo nenda Airport hapo nimetuma chupa isiyopoza nimeweka mbegu zangu we panda tu.

Kama shida kuzaa kama ni kupigwa miti umenikosa japo vigezo ninavyo vingine vya viada pia.
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Mkuu inaonesha hutanii kabisa, hivi wanajamvi hili jambo lipoje maana mimi nishawahi kuombwa na wanawake wasiopungua watatu wawili kati yao wanajiweza mmoja kawaida, nikifikiria damu yangu iende tu without a trace hapo ndo nagoma nahisi uchungu flani hivi.

Kweli uiache damu yako isepe kusikojulikana n ngumu kwa mwanaume anaejielewa.

Nauliza consideration ya hayo makubaliano ni nini?

huku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
 
Siku hizi mtoto ni kama bidhaa tu? Yaani nikupe ujauzito kila mtu aendelee na mambo yake kana kwamba hakuna kilichotokea wakati una mwanangu, kweli?
Kama unaona huwezi kuniachia mwanao basi post hii si kwajil yako mi nataka ambae atakua tayari kuniacha mimi na mtoto tuendelee na maisha yetu
 
Mwisho wa mkataba ndio mwanzo wa mkataba mpya,,cz akishakutandika mimba ndio mwsho hapo kuna suala la kunogewa mfano sas umenigewa utanisumbua? kumsikilizia mtoto anavyocheza tumbon na kupiga story ndogondogo na kumwimbia kdgo,sasa hapo mkataba utakua umeisha au unaendelea,,au unataka ukishajua imeingia leo mkataba bas?
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Tangaza dau basi..
 
Back
Top Bottom