ahmed rajab
Member
- Mar 27, 2017
- 23
- 14
Hapo chachaNipo mimi ni PM
Tatizo lenu shida zikikaba huchelewi kutengua kauli!!! Unaanza kuulizia matumizi ya mtoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo chachaNipo mimi ni PM
Tatizo lenu shida zikikaba huchelewi kutengua kauli!!! Unaanza kuulizia matumizi ya mtoto.
Kwani ye kasema anataka wakupanga nae maishahuku jf wapo wapenda papuchi tu wanaume wa kupanga mambo sirias ni wachache kuwa makini
Mi wakwangu hatamjua baba yake wa kibiologia too bad for him/herLakini ni dhulma kwa mtoto sababu mtoto ana haki ya kumjua baba yake wa ki biolojia
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm[/QUOTE
Ofa ni tamu shida mimi nanufaika nn na mbegu nilizo acha,maana ukilea wewe mimi ata sitakiwi kuona mtoto wala kujua kuhusu mtoto!!Utakua tayari kulipia gharama ya mbegu zangu
Umekuwa mkubwa ssHabarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Si lazima muishi wote mbona ni kawaida kila mtu kua na maisha yake lakini haki ya mtoto kumjua biological father hapo ndo mimi napata shida kidogo mkuu. Akiwa ana nijua na nini access ya kuonana nae au hata km yupo majuu kuwasiliana nae na akawa anajua kua there is dad in this world na ananipenda. Its enough swala la kutembeleana ama kua na ukaribu zaidi ni maamuzi ya mtoto mwenyewe akiw amkubwa coz hata mama hawezi kumzuia mtoto Akihitaji baba muda ukifikaKwani ye kasema anataka wakupanga nae maisha
Shez in need of mtoto tu
Mshahara shilingi ngapi maana kama unapewa mimba afu msijuane sasa mwanaume atanufaika na nini ilihali we utapata faida ya mtoto au kula papuchi yenyewe inatosha?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:
[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo
KARIBUNI pm
Kwani umeambiwa watu wa Arusha hawamo humu!Ina maana Arusha yote umekosa mwanaume mwenye hizo sifa ukajilengesha ukapata ukitakacho ukavunja mahusiano kwa kumwambia mwenzi wako karudi!!!