Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

ofa ni tamu s
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm[/QUOTE
Ofa ni tamu shida mimi nanufaika nn na mbegu nilizo acha,maana ukilea wewe mimi ata sitakiwi kuona mtoto wala kujua kuhusu mtoto!!Utakua tayari kulipia gharama ya mbegu zangu
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Umekuwa mkubwa ss
 
Mimi nipo ninamiaka 32 ni rangi ya maji ya kunde mrefu wa foot 5.4 nahamu sana ya kuzaa na mwanamke ambaye sio msumbufu kwa mana
 
UTALIPIA MBEGU ZANGU AU?maana sitakuja kuangalia mtoto tena au mm nafaidika nn?
 
Kwani ye kasema anataka wakupanga nae maisha
Shez in need of mtoto tu
Si lazima muishi wote mbona ni kawaida kila mtu kua na maisha yake lakini haki ya mtoto kumjua biological father hapo ndo mimi napata shida kidogo mkuu. Akiwa ana nijua na nini access ya kuonana nae au hata km yupo majuu kuwasiliana nae na akawa anajua kua there is dad in this world na ananipenda. Its enough swala la kutembeleana ama kua na ukaribu zaidi ni maamuzi ya mtoto mwenyewe akiw amkubwa coz hata mama hawezi kumzuia mtoto Akihitaji baba muda ukifika
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Mshahara shilingi ngapi maana kama unapewa mimba afu msijuane sasa mwanaume atanufaika na nini ilihali we utapata faida ya mtoto au kula papuchi yenyewe inatosha?? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi nina sifa zote hizo lakini hiyo ya NB: kwa kweli nisiwe mnafiki hiyo sifa sina
 
Siko tayari kutia mimba then nisiwe na haki ya kumjua mtoto wangu.
 
Kweli wewe umechoka kama jina lako.Mtafute beberu,huyo hana hulka ya kutafuta watoto baada ya kutia mimba.
 
Wanaume waoaji cku hizi hakuna mabinti wameiva muda wa kuolewa umefika waoaji hamna,wanaamua sasa wazae tu walee,vijana oeni akina dada wanateseka sana.
 
Sasa na wewe si ungeweka characteristics zako ili MTU afanye "informed decision"?
 
Mnaongelea kupata binadamu kana kwamba mtazaa mbuzi. Kuzaa na mtu ni kuunga nae uhusiano wa maisha. Usichukulie mzaha mzaha. Vinginevyo nenda Nairobi nunua Mbegu wakudunge uendelee kivyako
 
Back
Top Bottom