Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

Teh mimba hata kijana wa miaka 16 anakupa sa sijaelewa kigezo cha umri wkt we unashida na mtt
 
Ashasema akipata mimba kila mtu 50 zake hapo sidhan uyo mtoto atakua ukoo wako
Hahahaha kama ni hivo aende sperm bank ili akapewe mbegu apandikize

Au anatumia kigezo icho ili apate mume sababu mwanaume mwenye akili timamu anaipotezeaje damu yake
 
Hahahaha kama ni hivo aende sperm bank ili akapewe mbegu apandikize

Au anatumia kigezo icho ili apate mume sababu mwanaume mwenye akili timamu anaipotezeaje damu yake
Anataka mbegu imwagwe nã dushe afurahie utam wa shahawa kama unavigezo wahi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: 314
nipo Arusha... ila nakutakia kila la kheri..
ila why umewaza kuzaa nae tu... kwa nini isingekuwa wa kindoa...!!!!
.
Miss nimechoka usichoke mapema.
 
Mme wako hajapewa uwezo wa kukupa ujauzito?
Je huyo anayekupa mimba atanufaika vipi au mbegu zake anatoa bure?
Alafu ujue kuzaa na mtu then kumuachia mtoto kirahisi tu! Isn't easy like that

Mi nashangaa, yaani hajaonyesha huyu mtoa mbegu atafaidika nini. Sijui wanadhani kuwa watoa mbegu wanataka kugonga tu? Yaani mimi nikupe mbegu zangu bora bure tu... vipi wewe je una sifa gani? usikute mbegu chafu halafu unataka mbegu safi, bure. Kama papuchi mbona zipo tu bure tunapata.
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm
Mm nipo Arusha nitafute nitakupa watoto mapacha
 
Anataka mbegu imwagwe nã dushe afurahie utam wa shahawa kama unavigezo wahi mkuu
Mbegu lazima nipate manufaa ya mazao huyu aseme anatafta mume ili aeleweke vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habarini natafuta mwanaume mwenye vigezo vifuatavyo ili anipe mimba nizae mtoto wangu ambae nitamlea mwenyewe bila kuhitaji msaada wake. Mkataba wetu utaishia pale tu atakapo nipatia ujauzito baada ya hapo kila mtu ashike 50 zake.
sifa za mwanaume:

[emoji701]awe mrefu rangi yoyote
[emoji670]asiwe mwembamba sana
[emoji654] umri kuanzia 28-50
NB: awe tayari kupima HIV
awe anaishi Arusha ili iwe rahisi kukamilisha lengo

KARIBUNI pm

please utanipa feedback ukikamilisha hili

all the best
 
Back
Top Bottom