Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Nasikia kule nyeri wanawake wa huko ni wabaya wa sura hadi wanaume wanaamua kutembea na wanyama,so huenda hizo type zipo hadi ....

Nani kakudanganya?wanawake wa Nyero sio wabaya kwa sura.Ila walikuwa na mkakati wa kupunguza ulevi wa waume zao kwa kuwapiga waume walevi kupindukia ili kuirudisha jamii yao kwenye mstari.
 
weka picha tukuthaminishe usije ukawa na 'PUA KAMA NGUMI'
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.

We sema unatafuta bwana tu acha kuleta mbwe mbwe.
 
Huna sura nzuri nini, harafu kafupiii mnene kama sanam la micheline ukizaa mtoto akiamua kwenda kwa baba ake utamruhusu
 
ngoja waje majogoo wa kuazima mpatane hizo terms

Mkuu watu8 umenichekesha sana..Haya sasa usharusha mtama dada majogoo ya kuazima yanakuja kazi kwako kuchagua aliyenona.
 
Last edited by a moderator:
hajamaliza kusema, anatamani mtoto wa kike ama wa kiume, nia ni kuwasaidia mduu mara moja kitu kijibu.
simo kwa listi.
 
nilikuwa natafuta sana tena mwanamke kama wewe.kupima hiyo cyo tatizo.nipo serous tuwasiliane kwenye namba hii.0713959290
 
changamkia fursa kabla haijawahiwa..
Ninaitamai sana hiyo fursa ila bado ninamashaka nayo, maana haya mambo ya kufanya maramoja tu akishapa mtoto stori kwisha, hicho kizego kwangu ni kigumu sana, yaani nikiwa naenda kumuangalia mtoto tunakuwa kaka na dada. Lool
 
Naomba kama uko serious usipoteze muda PM tumalize hilo maana mi mwenyewe natamani mtu wa kuzaa nae
hamna kusumbuana ila kulea lazima nitaendelea kulea maana majukumu
 
Back
Top Bottom