Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

This is indecent propasal women are more clever never underestimate them.this could be a trick issue no free dinner remember.waungwana huu ni mkenge
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.

Wewe ni mzuri?Ni PM kunipa facebook account yako nikuone kabla sijasema lolote!
 
Ni pm mimi,coz nasababisha mimba ndani ya cku tatu unakua tayari,coz nliowai toka nao,wanaishiaga kufanya abortion....
 
Au huyu nitasaa nyege zimee mpandaa mpaka kichaa kinataka waka ivi uko kitanii hujaonaa ndoo iweje ujewaona umu jf unauhakika gani kama wanaotumia jf wapo kama uwafikiriavyoo shidaa tupuu ilii
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.

hebu tupia picha yako tuone kwanza. usijekuta una sura ya bunduki ikasababisha kidali kikagoma kwenda lol
 
wanaume wa kazi tupo wengi we sema unapatikana pande zipi?
 
umesahau, awe na akili za ziada! Yaani wataka sura nzuri tu! Kama uwezo wa kulea unao, atleast akupunguzie mzigo wa kusomesha kidogo! Huo ndio msaada sio sperm tu!
 
Kweli kuna watu na viatu duniani. Yaani unachotaka nini maana sion hata connection hapo yaani unitumikishe tu niache shughuli zangu..nikapime kisa natafuta nini hicho kitundu? I dont know you then nikupe ujauzito kiumbe changu kizaliwe na mama asiye na akili kama wewe ...! Kazae na mbwa ....!
 
Kulea mwenyewe sio ujanja dada,ungejua taabu na madhara wanayokuwa nayo hawa watoto wa kulelewa na mzazi mmoja usingetamani kumwingiza mwanao mpendwa kwenye aona hiyo ya maisha,iwe bahati mbaya jamani si kupanga kams utakavyo.Kuna teenager namfahamu amelelewa vizuri ana kila kitu muhimu lakini ukikaa naye siku zoote mkitulia akawaona watoto wako na wazazi wao wawili anaumia saaana,ana maswali mengi sana juu ya babayake alipo,anasema baba yangu angekuwepo ningempenda sana,mara ..hao watoto wana raha sana wako na baba yao.Jamani wanawake msipende kuiga maisha ambayo hayako kwenye mpango wa Mungu.

Ubarikiwe kwa ushauri uliompa. "Mwenye masikio naasikie"
 
Miss m4c kunamtu anajiita google aka "sperm doner" hum jf mtafute anawezakukusaidia okey?
 
Nikizaa nitalea Mwenyewe, na yeye atabak kuwa Ba Mtoto na Mzaz mwenzangu ila Ngono baada ya kuzaa hapana, awe sura nzuri, Mrefu.

as a matter of advice, hakuna mwanaume mwenye hekima, heshima, busara, akiri nzuri, utashi au mwenye mapenzi mema utakayempata japo akutuluze moyo wako ndani ya kipindi hicho kifupi kueleke kwenye maisha uliyochagua wewe mwenyewe. tumia akili yako vizuri na usikurupuke ukajajuta maisha yako yote. unaweza kuhisi kwamba hutahitaji tena mwanaume hata kwa mawazo baada ya kuzaa ila unajidanganya badala yake kwakuwa utakuwa tayari umezaa na mtu ambaye alikuwa tu na njaa ya ngono na wala si mapenzi utakapohitaji japo neno la faraja atakupotezea maana atajua huenda umeshafulia unataka kumpiga mzinga. japo unajiamini kwamba unao uwezo kumbuka maisha hubadilika eg ulikuwa mrembo ila kesho ukapata ajali ukapoteza mikono au miguu wakati mzazi mwenzizio hukumbuki hata sura yake maana shida yako ilikuwa mtoto tu. on top of that pesa ni maua huchanua na kunyauka na kwakumalizia watoto wa aina hiyo huwa hutafuta mzazi wa pili hata kwa njia zakisheria na akishampata huhamishia mapenzi kwake maana ulimuumiza kwa muda mrefu na anaamini kwamba wewe si mtu mzuri
 
Mbona easy ....with very minimal effort...you don't need 9 pages thread MissM4C
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom