Natafuta mwanaume wa kweli

Naitwa Josephine kabila langu ni Mhaya, nimemaliza chuo nimejiajiri natafuta mwanaume awe na umri kati ya 30 kuendelea mi nina 25.

Jamani nipo serious sihitaji mzaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka mwanaume mashine au!??
Ningeweka picha ila nimetoka kifumgoni siku chache tu kwa kuweka picha ya mwanaume mashine!!
 
Duh! Skuiz kilasku lazima nione msichana anatafuta mtu, kwahiyo waoaji ndio mnategeana au

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Waoaji siku hizi hakuna waliobaki nao wanataka kuolewa.
 
Kaka zangu sio wavulana ni wanaume na wote wameoa mkuu.

Basi hata wadogo zako au watoto wako wa kiume kama unao ama utajahaliwa kuwapata umewashushia heshima yao sanaaa.... sio maneno mazuri kuwatamkia hivyo... Maneno uumba mkuu..! Husitukane wakunga na uzazi ungalipo!
 
Avatar (ape alolo)....naitwa josephine. Very confusing. Thats why hili jukwa nawadays linakosa uhalisia. People aren't serious with what they post.
 
Tafadhari dada,naomba unipe ushirikiano kwenye PM kwakunipa namba yako ya simu,mimi ningekupatia namba yangu ili tufahamiane kikwelikweli lakini naogopa kua unaweza ukawa wakala wa TISS umekuja kiujanjajanja ili unase wanaume wasioweza kujiongeza.

Mimi niko very serious,nitumie namba huko kwenye PM ili tuanze mahusiano kama tutaendana kivigezo.

Endapo itaonekana hatujarandana kimuonekano au kivyovyote,nitakuheshimu kwakukuacha uendelee na msako ambao nina matumaini kama uko very serious utapata MUME umtakaye.

NB:Kua makini na sisi wanaume,wengine wamejeruhiwa na ndoa zao,au mahusiano yao hivyo watataka kukudanganya ili wakutumie kutuliza machungu halafu waendelee na wenzi wao baada ya mambo yao kutulia.Kila la kheri ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…