Natafuta mwanaume wa kweli

Natafuta mwanaume wa kweli

Tafadhari dada,naomba unipe ushirikiano kwenye PM kwakunipa namba yako ya simu,mimi ningekupatia namba yangu ili tufahamiane kikwelikweli lakini naogopa kua unaweza ukawa wakala wa TISS umekuja kiujanjajanja ili unase wanaume wasioweza kujiongeza.

Mimi niko very serious,nitumie namba huko kwenye PM ili tuanze mahusiano kama tutaendana kivigezo.

Endapo itaonekana hatujarandana kimuonekano au kivyovyote,nitakuheshimu kwakukuacha uendelee na msako ambao nina matumaini kama uko very serious utapata MUME umtakaye.

NB:Kua makini na sisi wanaume,wengine wamejeruhiwa na ndoa zao,au mahusiano yao hivyo watataka kukudanganya ili wakutumie kutuliza machungu halafu waendelee na wenzi wao baada ya mambo yao kutulia.Kila la kheri ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaa! Eti "....kuwa makini na wanaume, watakudanganya wakuchezee... "

Kama ambavyo wew unamdanganya ili umchezee sio...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom