Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katangazo kazuri ila kangekuwa na picha yako nadhani kangekuwa kazuri zaidi..Naitwa Josephine kabila langu ni Mhaya, nimemaliza chuo nimejiajiri natafuta mwanaume awe na umri kati ya 30 kuendelea mi nina 25.
Jamani nipo serious sihitaji mzaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mleta uzi anauliza hapo [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] ndio umeandika nn?
sato unaokula huko nyegezi ndio wanakupa kibuli?Kaka zangu sio wavulana ni wanaume na wote wameoa mkuu.
maneno yako yanaashiriwa jinsi gani umejaa nyege... unataka mwanaume wa kukutoa hizo nyegeWaoaji siku hizi hakuna waliobaki nao wanataka kuolewa.
Ha haaa! Eti "....kuwa makini na wanaume, watakudanganya wakuchezee... "Tafadhari dada,naomba unipe ushirikiano kwenye PM kwakunipa namba yako ya simu,mimi ningekupatia namba yangu ili tufahamiane kikwelikweli lakini naogopa kua unaweza ukawa wakala wa TISS umekuja kiujanjajanja ili unase wanaume wasioweza kujiongeza.
Mimi niko very serious,nitumie namba huko kwenye PM ili tuanze mahusiano kama tutaendana kivigezo.
Endapo itaonekana hatujarandana kimuonekano au kivyovyote,nitakuheshimu kwakukuacha uendelee na msako ambao nina matumaini kama uko very serious utapata MUME umtakaye.
NB:Kua makini na sisi wanaume,wengine wamejeruhiwa na ndoa zao,au mahusiano yao hivyo watataka kukudanganya ili wakutumie kutuliza machungu halafu waendelee na wenzi wao baada ya mambo yao kutulia.Kila la kheri ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app