Natafuta mwanaumme aliye serious kuwa mume baadae

Natafuta mwanaumme aliye serious kuwa mume baadae

Ina maana kuwa hata barabarani watu hawajakutongoza!!!.May be unatishaaa!!!!! huenda kwa urembo ulionao au ubaya.
 
niambie pachaaaaa! kuna uongo hapo nimeweka?

hivi umeshawahi kusoma post za shonza kule siasani? arekebishe mwandiko wake kwanza.

Shonza mwandiko m'bovu,
Idea mbovu,
Anachokiongea nacho kibovu vilevile.

Kwanza Muandiko wake hua unatokezeaga hadi nje ya karatasi.
Halafu elimu ya nukta, koma, kuacha nafasi, kuanza kwa aya inaelekea imempita kando bibi yule.

Halafu nikuchekeshe?
Eti ye na Muunga-Tela ni Walimu (Wa UPE??)
 
Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane JF hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia.

About me; 31 years old, Government Employee and Interprenership, education level First degree, mnene wa wastani na mrefu wa wastani,

Man im looking for
Age -30yrs and above
education -Form four and above
Job - employee or self employed
Awe mrefu wa wastani
anayependa maendeleo na aliye tayari kujishughulisha ili kuwa na maendelea

Aliye tayari PM nitamjibu thanx

Ngoja nikuPM tulonge mweh!
 
Back
Top Bottom