Natafuta mwanaumme aliye serious kuwa mume baadae

Furahatuu

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
115
Reaction score
40
Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane JF hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia.

About me; 31 years old, Government Employee and Interprenership, education level First degree, mnene wa wastani na mrefu wa wastani,

Man im looking for
Age -30yrs and above
education -Form four and above
Job - employee or self employed
Awe mrefu wa wastani
anayependa maendeleo na aliye tayari kujishughulisha ili kuwa na maendelea

Aliye tayari PM nitamjibu thanx
 
hapa umefika ila uwe makini kutenganisha magugu na ngano,all the best
 
Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane JF hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia.

About me; 31 years old, Government Eployee and Interprenership, education level First degree, mnene wa wastani na mrefu wa wastani,

Man im looking for
Age -30yrs and above
education -Form four and above
Job - emloyee or self emloyed
Awe mrefu wa wastani
anayependa maendeleo na aliye tayari kujishughulisha ili kuwa na maendelea

Aliye tayari PM nitamjibu thanx

Ahsante sana, nashukuru umekuja muda muafaka, jamani nashukuru sana kwa kweli, umeona PM yangu lakini, nasubiri majibu kwa hamu kubwa sana jamni!!!!!

plz plz nina vigezo vyote, kasoro moja tu siwezi kuwa mume wako!!!!
 
Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane JF hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia.

About me; 31 years old, Government Eployee and Interprenership, education level First degree, mnene wa wastani na mrefu wa wastani,

Man im looking for
Age -30yrs and above
education -Form four and above
Job - employee or self employed
Awe mrefu wa wastani
anayependa maendeleo na aliye tayari kujishughulisha ili kuwa na maendelea

Aliye tayari PM nitamjibu thanx

:A S-rap:Tunaomba picha tafadhali
 
Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane JF hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia.

About me; 31 years old, Government Eployee and Interprenership, education level First degree, mnene wa wastani na mrefu wa wastani,

Man im looking for
Age -30yrs and above
education -Form four and above
Job - emloyee or self emloyed
Awe mrefu wa wastani
anayependa maendeleo na aliye tayari kujishughulisha ili kuwa na maendelea

Aliye tayari PM nitamjibu thanx
Duuuh! Haya msomi wa Chuo kikuu subiri utampata msomi mwenzako. Ungetuwekea na jina la Chuo ulichohitimu ingekuwa nzuri zaidi.
 
Umri ungefaa kustopisha unisubiri nifikie age unayotaka ningekuambia ustopishe wa kwako, lakini haiwezekani. Anyway all the best
 
Duuuh! Haya msomi wa Chuo kikuu subiri utampata msomi mwenzako. Ungetuwekea na jina la Chuo ulichohitimu ingekuwa nzuri zaidi.

Mkuu haya makosa umeyaona wapi kwani nikiangalia post yake naona ungenge na spelling ziko vema. Au ali edit baada ya kumpa masahihisho
 
Ila dada kwenye umri kwa nini utake mtu mwenye umri mdogo kuliko wewe au ni dalili za kukata tamaa! au unataka mume wa kumdhibiti chini ya miguu.
Pia ukiona mwanamke ameanza kueleza anataka mrefu ujue hakuna mke hapo.
Wengi wanaojitangaza they can not make a good wife wao wanafikiri ndoa ni umbo la nje la mume lakini huko kwenye kitanda ikawa tatizo kama ilivyo kwa wanawake walio wengi hasa baada ya kumaliza shughuli za uzazi
 
Nakupenda sana ila mume au mke mtu hupewa na Bwana......Basi Mungu wa mbinguni akujibu haja ya moyo wako. Sote tuseme amen
CC: Rev. Mamndenyi na mpendwa Smile na mwanakwaya Little Angel na Muinjilisti saudari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom