Natafuta mwanaumme aliye serious kuwa mume baadae

Natafuta mwanaumme aliye serious kuwa mume baadae

Vipi Furahatuu umeshampata umtakaye au milango bado ipo wazi? Mngekuwa mnaleta Mrejesho ingekuwa vizuri zaidi.
 
nenda SEWA, OHIO AU JOLY CLUB utawapata kama ORIFICE INASCATCH, mwadilifu hutafutwa kwan kizuri hujiuza!
 
mm nadhani kama mtu hauna mawazo ya muhimu usichangie,coz watu wapo serious,na wana stress zao mtakuja kuua watu
 
nenda SEWA, OHIO AU JOLY CLUB utawapata kama ORIFICE INASCATCH, mwadilifu hutafutwa kwan kizuri hujiuza!

inaonekana wewe hujui mana ya love connect ndo mana unakuja hapa kuropoka we kama wako ulimpata sokoni waache wenzio nao wajaribu kwa njia za mitandao mbona unataka kuwakatisha wenzio tama kwa mawazo yako mabovu?haya sasa nani kakuomba ufungue hapa una umelazimishwa?ebu tueni waungwana japo kidogo!
 
vigezo vyote ninavyo ila kuna matatizo mawili yanajitokeza kwa upande wangu

1. kwanza muandiko wako mbaya ,kama vile juliana shonza kato tamko.

2. nina mtu tayari.
 
Back
Top Bottom