Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Ya kulewea unayo au unataka burudani kwa gharama zetu?
 

Kataa ndoa chukueni point hapa, unaweza oa mke kumbe anapenda kutukanwa, na hii ni Sababu mwanaume wa kwanza aliyemwacha alikuwa anapenda kutukana!
 
Sasa naanza kuelewa kwa nn yule dada anapenda walevi
.......Kuna dada nimemwona kwa youtube anaulizwa mtu anaelewa na asiyelewa nani ana show nzuri, dada na ushungi wake akiri mlevi ana show ya konki!....
Kama ambavyo walevi hawana ustaarabu, ndivyo mapenzi hayataki ustaarabu!
 
 
Huwa namuambiaga mke wangu ningekuwa sinywi pombe ndoa yetu ingeshavunjika siku nyingi.
Akaniuliza kwanini nikamuambia mlevi anayejali familia yake hafuatilii mambo madogo madogo mapungufu uliyo nayo mnywaji atayavumilia lakini ningekuwa sinywi singekubali.
Nimeoa dada ila tuwasiliane nipe miadii niku inbox ila ni urafiki tu sio mapenzi ya ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…