Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Kuna ID kila kwenye uzi wa utapeli lazima uzione zinakuja kusingesha uzi.
Kuna ID kwenye kila nyuzi ya mavimavi lazima uzione.

Hii JF hii 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Maisha yamekua magumu kiasi hiki mpaka mmebadili mbinu za udangaji?
 
Tatizo mimi huwa nikinywa silewi, inaweza ikachukuwa wiki mbili ndio nalewa, na nikilewa huwa siongei, na nikiongea huwa situkani. 😄
 
Habari rafiki,

Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni kwa urafiki tuu mimi nipo Dodoma kwa sasa. So karibu tubadilishane mawazo
NENDA CHADEMA MTAFUTE MTU ANAYEITWA DJ MBOWE NA CHUPA YAKE YA KONYAGI
 
Nani
Ukiwa mlevi tafuta mlevi mwenzio..ukiwa mchamungu tafuta mchamungu mwenzio..ukiwa mzinzi tafuta mzinzi mwenzio n.k...Ngoja wajitokeze
kakuambia kuna mchamungu kwenye dhama hizi za mawe pole sasa kwa uzuzu 🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom