Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Kama vinywaji hanunui yeye(mpenda walevi) hiyo ni mbinu nyingine ya kudanga
Hahhaa mm nina hela yangu kila mtu atanunua kwa pesa yake nataka kufarijiana tuu, na kubadilishana mawazo napenda tu kuongea na wanywaji
 
Tunakuja, najua unapenda fulaha. mi nikimpata mdada anaye onja kidogo pia huwa nafurahi sana.
mlevi anaongea toka moyoni kabisa.
kama hakupendi atakuambia live kabisa.
Najua kwa nini napenda walevi, yaan akiamua kukusaidia anafanya kutoka moyoni ni watu wenye upendo, nilipata kazi yangu ya kwanza kwa sababu tu ya kukutana na mlevi mmoja bar moja ya watu wastaarabu, yaan wanajua kujali ukipata tatizo, sasa nimeona tunaendana ingawa mm sinywi zaidi ya wine kwa sasa nimeacha kunywa pombe ila nawapenda sna hawa watu. Ndio nikiona mlevi sijui kaanguka huwa napak gari namuuliza anakokaa kama anaeleweka nampeleka mpaka kwake, kama hawazikujitambua hapo ndio nashinda. Nilipata kaz nzr tu ni mlevi aliyenisaidia kwa kweli. So nimeona walevi wengi wanavuosaidia watu so natamani kuwa na marafiki wa hivi bila kujali ana hali gani mm kwangu ni upendo💕
 
Acha makasiriko, kwani mwanaume hana marafiki, wewe nae
Lazima tuwalinde wanaume zetu wasijeingia matesoni kama wewe.

Wewe ni shoga na haufichi hlf unataka marafiki walevi.

WALEVI WALEVI WALEVI🤔🤔🏃
Huoni kwamba kwako ni rahisi kuharibu mlevi coz wewe ni shoga na una pigo za kike.Pombe zikimtuma akibunye hivyo vitako vyako vya kiume utakataa baba yangu?
Wewe unataka tu kuharibu wenzio shindwaaa
 
Una uhakika unachokisema, mtu akiamua kufanya jambo ni yeye mwenyewe kila mtu na starehe yake, acha kujidai unajua sanaa kuhukumu,
 
Back
Top Bottom