Tundazuri
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,932
- 2,525
- Thread starter
- #121
Sihitaji msaada, mpaka nimeandika hv kuna kitu nimekifikiria sana juu ya hawa watu, mm nilisaidiwa kazi na mlevi mmoja nilivyomaliza zangu chuo nikawa nabangaiza"Me" walevi angalieni msije ingia kwenye mfumo, you know what I meanš.