Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

Habari rafiki,

Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni kwa urafiki tuu mimi nipo Dodoma kwa sasa. So karibu tubadilishane mawazo
Ukilewa usichati maana Badala ya kuandika neno nimefiwa🤣yatakukuta unaandika "nimefiliwa"
 
Dah mwanangu hapana Yan nitafute mzinzi mwenzangu watoto watakuwa katika malezi yapi mkuu
Walev wanaupendo na wanasaidia sana, hata kimawazo, watoto hawahusiani na ulevi set standards zako kwenye familia yako
 
Una uhakika unachokisema, mtu akiamua kufanya jambo ni yeye mwenyewe kila mtu na starehe yake, acha kujidai unajua sanaa kuhukumu,
Mlevi hana maamuzi sahihi.
Mlevi anakushenyenta leo kesho anajuta.
Acha ushoga kama Agrey kaushindwa hata wewe umekushinda u anajitutumua tu hapa.
 
Habari rafiki,

Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni kwa urafiki tuu mimi nipo Dodoma kwa sasa. So karibu tubadilishane mawazo
Una agenda ya siri.Si burebure tu uanze kupenda watu wanaolewa pombe,kuongeaongea bila kujihimili na kutukana matusi kama gunia saba.
 
Ila Man U!!
1000017660.jpg
 
Una agenda ya siri.Si burebure tu uanze kupenda watu wanaolewa pombe,kuongeaongea bila kujihimili na kutukana matusi kama gunia saba.
Hapana kwa kweli, hata Yesu alikuja kwa ajili yao, lakini kila mahali wanatengwa na wanasemwa vibaya lakn ni watu wenye moyo mzr, ni kweli nilipata kazi nzr kupitia mlevi mmoja sitaki kusema isije ikatokea yupo humu, baada tu ya kumaliza masters yangu yeye ndiye aliyenisaidia,
 
Maisha yamekua magumu kiasi hiki mpaka mmebadili mbinu za udangaji?
Wewe kaka kila mtu ana style yake ya kutafuta marafk, elimu inanilipa pesa inayonitosha wala sihitaji pesa ya mtu
 
Back
Top Bottom