Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

Mzee Wa Kuchumila

New Member
Joined
Apr 4, 2026
Posts
3
Reaction score
9
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu.

Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti.

Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
 
Nashauri usichanganye utafiti na uchimbaji, kwanza jiridhishe kama kuna viashiria vya mwamba wenye dhahabu.
Pia ukishindwa kujiridhisha, tafuta mtu wa jiolojia aweze kukuhakikishia dalili kama zipo, ama kama majirani zako wanachimba dhahabu basi angalia na utambue ulalo (hanging and foot wall) wa mwamba umeelekea upande upi??
Na unaweza kuangalia historia pia ya eneo hilo kama pametokea dhahabu kabla??
 
UMESHAWAHI KUMILIKI MGODI? HUYO JIRANI YAKO UPO UMBALI GANI NA WW? AMEUKUTA MWAMBA WA UZALISHAJI KWA UMBALI WA FUTI NGAP? JE UZALISHAJI WAKE UKOJE KWA MAANA UNATOA GRAMU NGAPI AU POINTI NGAPI KWA POKA LA KG 25
 
Swali la msingi hasa.

Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu.

Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti.

Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
Sijawai kumiliki mgodi,jirani yangu anachimba hadi Sasa na uzarishaji unaendelea.viashiria vya kuwepo dhahabu vipo maana Kuna trenches mbili za wakoloni ndani ya shamba.
 
Mimi nitakusaidia kupokea hizo sample na kuzifanyia analysis na kuzisimamia hadi majibu yatoke pia naweza kuja kukutafutia watu wa miamba wakusaidie namna ya kuchukua sample. Kifupi mkoa wa mara una dhahabu sana
 
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu.

Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti.

Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
Vipi ulimpata?
 
Back
Top Bottom