Mzee Wa Kuchumila
New Member
- Apr 4, 2026
- 3
- 9
SahihiNgoja nione kama naweza kukupatia mdau genuine
Swali la msingi hasa.UMESHAWAHI KUMILIKI MGODI? HUYO JIRANI YAKO UPO UMBALI GANI NA WW? AMEUKUTA MWAMBA WA UZALISHAJI KWA UMBALI WA FUTI NGAP? JE UZALISHAJI WAKE UKOJE KWA MAANA UNATOA GRAMU NGAPI AU POINTI NGAPI KWA POKA LA KG 25
Swali la msingi hasa.
Sijawai kumiliki mgodi,jirani yangu anachimba hadi Sasa na uzarishaji unaendelea.viashiria vya kuwepo dhahabu vipo maana Kuna trenches mbili za wakoloni ndani ya shamba.Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu.
Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti.
Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
Vipi ulimpata?Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu.
Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti.
Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.