Natafuta mwenyeji Arusha

Haha najua vyote...
Kuanzia kisosora magomeni kambi ya fisi mikanjuni pita kote hadi Sahara urudi usagara mpaka majani mapana...nilikuwa naenda kushangaaa baikoko
Nimeishi 17st kwa muda
 
kama ni mwanaume wa Dar uku hatukuhitaji sababu wanaume wa Dar mkiambiwa mtoe vikaratas (vyet) tu mnaanza kulia yan mnaonyesha ni jins gan mlivyo chips mayai

Sioni uhusiano wowote na mada inayozungumziwa
 
Kiseriani nakupata sana, ni eneo linalokuja juu kwa kasi ya ajabu, 5yrs to come utakuwa mji mzuri sana.
Kiseriani hii ya kuchomozea Namanga? Mida ya jioni kale kamji kalipo pale sokoni Jam lake hatari kweli kweli
 
[emoji23] [emoji23] ndugu zake Nifah hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…