Natafuta mwenyeji Arusha

Unaenda kwenye uchaguzi wa TLS? Kama unaenda kwenye uchaguzi, Je utamchagua Lissu? Kama utamchagua Lissu nitakupa makazi uishi bure kabisa.. It's an empty home but full secured, iko Sakina kwa Idd..
Nipe nikae na mgeni hayo makazi mchaga mwenzangu[emoji6]
 
Arusha karibia naijua kona zote...


Sizungumzii kiseriani ya Arusha mkuu. Nilikuwa Naongelea Kiserian Kenya. Ukitoka mbakase kabla hajafika Nai kuna mji unaitwa kiseriani au ukiwa unatokea magari kabla ya kufika Nai
Hivi ni kweli Arusha kuna wapiga roba za aina tofauti tofauti, maana story nilizopewa zinatisha na kuniogopesha
 
Hivi ni kweli Arusha kuna wapiga roba za aina tofauti tofauti, maana story nilizopewa zinatisha na kuniogopesha
Serious.

Arusha imebadilika saana na inazidi kubadilika. Arusha ya mwaka 2008 kurudi nyuma ilikuwa mbovu saana.

Saa 8 au 9 mchana unakabwa au milio ya pipe kweupe na watu walichukulia kawaida. Mitaa kama ololoo..mianzi...soko mjinga..na ngalimii ulikuwa haukatishi uswazi.

Ila kwa sasa haya mambo yamebadilika. Watu wamejichanganya saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…