Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Nipe nikae na mgeni hayo makazi mchaga mwenzangu[emoji6]Unaenda kwenye uchaguzi wa TLS? Kama unaenda kwenye uchaguzi, Je utamchagua Lissu? Kama utamchagua Lissu nitakupa makazi uishi bure kabisa.. It's an empty home but full secured, iko Sakina kwa Idd..