Sisi tuna kwetu mbali na ndg, maneno yatoke wapi?Wakiniona tu lazima waanze chokochoko hapo hutakiwa na jinsi
Karibu ninauzoefu napo....Siku nikipata chance nitaenda ngorongoro conservation area
yule yupi [emoji15] unamjuaKama ni yule anatatulika tu.
Chungulia pm nimekutumia jina lakeyule yupi [emoji15] unamjua
Mi nitaona tu hali itakavokuwa na kusoma mchezo kabisa maanaSisi tuna kwetu mbali na ndg, maneno yatoke wapi?
Hata hivyo tangu lini chura azuie maji kunywewa?
Yani I can't waitKaribu ninauzoefu napo....
Ni sehemu nzuri saana ya kurefresh....
hahahhhh ngoja nichungulieChungulia pm nimekutumia jina lake
Hofu ondoa, mikononi mwa Quigley uko salama myMi nitaona tu hali itakavokuwa na kusoma mchezo kabisa maana
Nashukuru sanaHofu ondoa, mikononi mwa Quigley uko salama my
Bcoz...Yani I can't wait
Tanga nimepamiss....hahahhhh ngoja nichungulie
Yo most welcomeNashukuru sana
kama una mashaka na mapokezi yangu mtafute Bonny nae ni wa huko huko akupokee vizuriTanga nimepamiss....
Natamani kuja sema mapokezi yako ninashaka nayo
Hyo sasa iko vzuri napenda kumuona faru john na simba mubashara kabisaBcoz...
Kuingia getini tu unakaribishwa na Nyani wanapanda kwenye magari na hawaogopi. Ukizubaa wanakuibia hata simu.
Then baada ya hapo kuna camp nyingii kama nyati..chui..simba nk.
Tembo mbogo nmk mchana kweupe unawaona na hawakimbii wala kukudhuru labda wawe na hasira.
Kuna mecury..oldupai..udongo wa kuhama. Ni wewe tu mpendwa.
Crater
Mkuu unanikumbusha mbaliBcoz...
Kuingia getini tu unakaribishwa na Nyani wanapanda kwenye magari na hawaogopi. Ukizubaa wanakuibia hata simu.
Then baada ya hapo kuna camp nyingii kama nyati..chui..simba nk.
Tembo mbogo nmk mchana kweupe unawaona na hawakimbii wala kukudhuru labda wawe na hasira.
Kuna mecury..oldupai..udongo wa kuhama. Ni wewe tu mpendwa.
Crater
Tunatumia fursa wew endelea kufuatiliaMgeni ana taka mwenyeji arusha, wengine wanatongoza dooooh!
Akaaa. ..nakutaka wewe twende raskazone tukameze mimaji tukitoka hapo tunyooshe viuno chichi then tuingie zetu resort kunyoosha viungo vinginekama una mashaka na mapokezi yangu mtafute Bonny nae ni wa huko huko akupokee vizuri
Ninaenda 3 weeks to come, utanijoin!Siku nikipata chance nitaenda ngorongoro conservation area
Arusha mkuu kwenye vivutio pamebarikiwa..kuanzia wanyama mpaka watu (maasai) [emoji23][emoji23]Mkuu unanikumbusha mbali